Meeting

Mkutano Mkuu wa Mwaka 2025

Monday, 15 December 2025 — 09:00

Tunawataarifu wanachama wote kwamba Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Ushirika utafanyika. Wanachama wote wanaombwa kushiriki kwa nguvu.